VITA YA UKEKETAJI WANAUME WAWE MBELE: DKT. GWAJIMA

Na WMJJWM, Dodoma Wanaume na Wavulana wamehimizwa kushiriki kikamilifu kupinga Mila na Desturi zenye madhara ili kutokomeza ukeketaji.Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum ameyasema hayo jijini Dodoma Leo Februari 02 alipozungumza na Waandishi wa Habari kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga Ukeketaji dhidi ya Wanawake yanayofanyika  Februari 06 ya